comments


WASILIANA NASI


2M Bongo Photo Studio ni kampuni ya kitanzania inayojihusisha na upigaji Picha mbalimbali za harusi[Weddings], Mtindo [Fashion] na ndani ya Studio pia na picha za passport aina zote zitumikazo kote Duniani.

2M imeanzishwa miaka minne 4 iliyopita na mpiga picha mwenye taaluma na fani hii Bw. MWITA MAKANG’A. aliyetumia ujuzi na taaluma yake kupiga picha kwa takilibani miaka 8 sasa,amewahi kupiga picha kwenye magazeti na majarida mbalimbali.
uzoefu wote huu tunauleta pamoja kupata picha nzuri zitakazo ielezea Harusi yako ilivyokuwa imesheheni uzuri,pia utaonyeshwa namna nzuri ya kupozi ili kupata ulichokusudia kupata kutoka kwetu.Angalia baadhi ya picha zetu kuona umahili na utalaamu turionao.
Tunapenda kusikia kutoka kwako na kutaraji kazi ya harusi kutoka kwako. kupitia fomu hapo chini au  
Mawasiliano
2m Bongo Studio 
+255 754 283 027
+255 655 283 027
Email; 2mpstudio@gmail.com
JAZA FOMU HIYO HAPO CHINI KUTUELEZA NI NAMNA  GANI TWAWEZA KUKUSAIDIA NDUGU MTEJA











Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Incisive Media | Bloggerized by Oscar - Premium Blogger Themes | Design Blog, Make Online Money